JINSI YA KUINGIA KWENYE PC BILA PASSWORD.
Kuna njia nyingi za kuingia kwenye pc yako Kama umesahau pswd. Ya kwanza in njia ya kawaida.
Ya pili ni kwa kutumia cmd.
Ya tatu kwa kutumia program ambayo inakuwa bootable kwenye flash..
Ya NNE..kwa kutumia program ambayo inakuwa bootable kwenye CD. Leo tujifunze njia ya tatu. Nyingine tutaendelea nazo .sasa futa hatua hizi kwa makini.
HATUA.
1. Download program iitwayo konboot. Kwenye interne kana kilobytes 807.
2 Fungua kwa kutumia  winRar
3. Double click . konBootInstaller.exe. ita extract  ikimaliza gonga OK.
4.itatokea option ya  yenye maelezo kidogo click OK.
5.baada ya halo zitatokea pia option tatu yaan . install to CD ya pili . Install to  CD(v2.1 version no EFI support) ya tatu install to USB stick  (with EFI support)
Chagua namba tatu then select USB yako pembeni mkono wa kulia. Then ludi kwa juu halafu install
6. Toa flash yako weka kwenye laptop au desktop yenye password uko sahau...
7. Restart hiyo pc afu boot kwenye USB . pc yako itazima na kuwaka tena baada yapo itakuomba uweke pswd click enter  na hapo utakuwa umemaliza.
Imeandaliwa na
Linus kinimbalinus11@gmail.com
Mob.0768153554
Blog. https://linuskinimba.blogspot.com
First

2 comments

Write comments
Unknown
AUTHOR
23 April 2016 at 02:58 delete

linus your so hacker

Reply
avatar
11 May 2016 at 12:24 delete

linux your a good person i learn many from you

Reply
avatar